Skip to main content

Viongozi wawili za zamani wa wanamgambo waukumiwa na mahakama ya Sierra Leone

Viongozi wawili za zamani wa wanamgambo waukumiwa na mahakama ya Sierra Leone

Mahakama maalum kwa ajili ya Sierra Leone inayoungwa mkono na UM, SCSL imewahukumu wiki hii viongozi wawili wa zamani wa kundi wanamgambo lililokua linaungwa mkono na serekali, kwa ajili ya uhalifu wa vita ulotenda wakati wa vita virefu vya wenyewe kwa wenyewe miaka ya 1990.