Skip to main content

Umoja wa Mataifa, washirika wa kimataifa kuimarisha mawasiliano na baraza la upatanishi la Somalia

Umoja wa Mataifa, washirika wa kimataifa kuimarisha mawasiliano na baraza la upatanishi la Somalia

Umoja wa Mataifa na washirika wake wa kimataifa wanaotafuta amani huko Somalia, wanampango wa kuimarisha mawasiliano yao na baraza la kitaifa la upatanishi katika juhudi za kuleta utulivukatika taifa hilo lililokumbwa na ghasia kwa miaka 16 sasa.

STING