Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban Ki-moon anasema kikosi cha kulinda amani huko Liberia kitapunguzwa

Ban Ki-moon anasema kikosi cha kulinda amani huko Liberia kitapunguzwa

Ingawa Liberia inakabiliwa na changa moto chungu nzima wakati inaendelea na kazi za kuikarabati nchi, baada ya miaka 14 ya vita vya weneywe kwa wenyewe, katibu Mkuu Ban KI-mmon ametoa mwito wa kupunguzwa idadi ya walinda amani nchini humo.