Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Idadi ya wakimbzi wanaorudi Burundi wanaosaidiwa na UM imepindukia 350,000

Idadi ya wakimbzi wanaorudi Burundi wanaosaidiwa na UM imepindukia 350,000

Mnamo miaka mitano iliyopita shirika la wakimbizi la UM UNHCR limewasiadia zaidi ya waimbizi 350 elfu kurudi nyumbani chini ya mpango mkubwa kabisa wa shirika hilo barani Afrika.