Facebook Twitter Print Email
Baraza la Usalama limelaani vikali miripuko iliyopangwa kwa wakati mmoja wa mabomu kaskazini ya Irak na kusababisha vifo vya mamia ya watu na kusababisha wengine wengi kujeruhiwa.