Baraza la Usalama lina laani mripuko mkubwa kaskazini ya Irak.

22 Agosti 2007

Baraza la Usalama limelaani vikali miripuko iliyopangwa kwa wakati mmoja wa mabomu kaskazini ya Irak na kusababisha vifo vya mamia ya watu na kusababisha wengine wengi kujeruhiwa.

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter