Mkutano wa UM juu ya Tatizo la Silaha Ndogo Ndogo Duniani.

7 Julai 2006

Mnamo mwaka 2001 wawakilishi wa Mataifa Wanachama katika UM walipitisha, kwa kauli moja, Mpango wa Utendaji uliokusudiwa kuihamasisha jamii ya kimataifa kushirikiana kuratibu kanuni mpya za kuboresha sheria za kitaifa zinazohitajika kudhibiti biashara haramu ya silaha ndogo ndogo ulimwenguni.

Daktari Raphael Masunga Chegeni, mbunge anayewakilisha jimbo la Busega, Mwanza, Tanzania alikuwa miongoni ya wawakilishi wa kimataifa waliohudhuria kikao hicho cha UM juuya silaha ndogo ndogo. Idhaa ya Redio ya UM ilifanya mahojiano naye kwenye studio zetu.

Kwa mahojiano kamili sikiliza taarifa.

 

♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter