Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mawaziri kutoka mataifa 60 ya Ulaya na Afrika wakutana Rabat, Morocco kuzingatia uhamiaji wa magendo.

Mawaziri kutoka mataifa 60 ya Ulaya na Afrika wakutana Rabat, Morocco kuzingatia uhamiaji wa magendo.

Katika mkutano uliofanyika mjini Rabat, Morocco wiki hii ambapo mawaziri kutoka mataifa karibu 60 ya Ulaya na Afrika walizingatia suala la wahamaji, kulitolewa mwito wa pamoja uliopendekeza Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR)lihusishwe kuyasaidia mataifa haya kudhibiti vyema tatizo gumu,