21 Julai 2006
Shirika la UM juu ya Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limeripoti kwamba kuanzia 2005 Uchina imefanikiwa kuchukua nafasi ya tatu miongoni ya mataifa yanayochangisha, kwa wingi, misaada ya chakula inayofadhiliwa umma muhitaji katika sehemu mbalimbali za dunia.