Masuala ya uhamiaji kumuulikwa wakati wa mkutano wa IOM huko Nairobi
Kamati kuhusu uhamiaji kwenye pembe ya Afrika na nchini Yemen inaandaa mkutano wake wa tatu mjini Nairobi nchini Kenya kuanzia tarehe 3o hadi 31 mwezi huu. Mkutano huo unalenga kuboresha ushirikiano kati ya serikali kwenye pembe ya Afrika na Yemen na washirika wa kimataifa katika mikakati ya kuboresha uhamiaji na hali za wahamiaji. Jumbe Omar Jumbe ni msemaji wa IOM na anafafanua kile kinachotarajiwa.
(Sauti ya Jumbe Omari Jumbe)