Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ushirikiano kwa nchi za Kusini-Mashariki mwa Ulaya uimarishwe

Ushirikiano kwa nchi za Kusini-Mashariki mwa Ulaya uimarishwe

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la  Sayansi, Elimu na Utamaduni UNESCO Bi Irina Bokova amezitaka nchi zilizoko kwenye ukanda wa Kusin Mashariki ya Ulaya kuanzisha agenda ya kukuza mashirikiano kwa shabaha ya kuinua kiwango cha urithi wa utamaduni.

Hoja kama hiyo pia imetolewa na Waziri wa Utamaduni wa Bulgaria Vezhdi Rashidov,  wakati wa mkutano wa kilele uliowakutanisha mawaziri nchi 13 ambao pamoja na mambo mengine wamejadilia mada inayozingatia utamaduni na maendeleo endelevu.

Taarifa zaidi na George Njogopa: