Mapendekezo mapya yaafikiwa kwenye mawasiliano ya Radio
Mkutano wa juma moja kuhusu mawasiliano ya Radio umkamilika hii leo . Mkutano unaofanyika baada ya kila miaka minne unatoa mwelekeo wa mawasiliano kuhusu mawasilaino ya Radio umaefikia mwafaka wa mawasiliano ya Radio siku zijazo. Zaidi ya washiriki 500 kutoka nchi 102 walihudhuria mkutano. Mkutano huo ulithibitisha mapendekezo kadha na kutaka kufanyika kwa uatafiti zaidi ili kuboresha mawasiliano ya Radio duniani.