13 Agosti 2020
Pakua
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi
- Ripoti ya WHO na UNICEF yasema Shule zikiwa zinaanza kufunguliwa, bado hakuna huduma za kujisafi kujikinga na COVID-19
- Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani ILO imesema athari mbaya za janga la corona au COVID-19 kwa vijana zimeongeza pengo la usawa na kuhatarisha uwezo wa uzalishaji wa kizazi hicho chote katika jamii.
- WFP kupeleka unga wa ngano na nafaka nchini Lebanon
- Na kwenye makala leo tutaelekea mkoani Morogoro nchini Tanzania kusikia mafanikio ya mradi wa lishe bora uliozinduliwa mwaka jana mwezi Agosti na kwa hivyo umetimiza mwaka mmoja sasa.
-Na leo mashinani tutakwenda nchini Uganda ambako shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limeleta nuru katikati ya janga la Corona
Audio Credit
Assumpta massoi
Audio Duration
12'40"