Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Guterres aomba Syria isihambulie Idlib

Guterres aomba Syria isihambulie Idlib

Pakua

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaka serikali ya Syria na washirika wake wapige moyo kondo na waachane na mipango yao ya kushambulia zaidi eneo la Idlib nchini Syria.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Sauti
3'1"
Photo Credit
WFP/Hussam Al Saleh