Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

22 Juni 2022

22 Juni 2022

Pakua
Hii leo katika jarida utasikia kuhusu tetemeko kubwa la ardhi lililoyakumba majimbo mawili nchini Afghanistan, tayari serikali ya Taliban imeomba msaada kwa Shirika la Umoja wa Mataifa. - Umoja wa Mataifa na mashirika mengine yanajiandaa kupelekea misaada ya kibinadamu nchini humo. Shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO Barani Afrika whapo kesho watakuwa na mkutano wa dharura ili kuanngalia iwapo ugonjwa wa homa ya nyani au Monkeypox nijanga la afya ya umma au la. Pia utasikia makala kuhusu kauli za chuki na mashinani huko kenya mashirika ya dini yanavyohamasisha umma kupata chanjo ya COVID-19
Audio Credit
Leah Mushi
Audio Duration
11'33"