Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

04 Januari 2022

04 Januari 2022

Pakua

Katika jarida hii leo tunakuletea taarifa kuhusu msisitizo uliotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO kuhusu kila nchi kuhakikisha angalau asilimia 70 ya wananchi wake wamepata chanjo.

Nchini Bangladesh mkulima aishukuru WFP wa mafunzo ya kilimo cha uyoga yaliyomletea manufaa. 

kwa habari nyingine na makala tafadhali ungana na Assumpta Massoi. 

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
13'47"