Corona

Ingawa wagonjwa wa COVID-19 wamepungua bado kuna changamotoya chanjo katika baadhi ya nchi:WHO

Wanaokufa kwa COVID-19 duniani wapungua; Burundi, Korea Kaskazini na Eritrea hazijaanza chanjo  (OVERNIGHT- Radio)

Sauti -
1'54"

Ajira za utotoni zafikia milioni 160, zaidi ya nusu ni watoto wa miaka 5 mpaka 11

Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miongo miwili, ajira za utotoni zimeongezeka na kufikia watoto milioni 160 na huenda takwimu hizo zikapanda kwa mwaka ujao wa 2022 iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa kuwalinda watoto.

Haiti: Ukosefu wa fedha unaweka rehani maisha ya watoto 86,000

Idadi ya Watoto chini ya miaka 5 wanaougua utapiamlo mkali nchini Haiti inaweza kuongezeka zaidi ya mara mbili mwaka huu, ameonya Jean Gough mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Watoto – UNICEF katika ukanda wa Amerika kusini na karibiani, wakati akihitimisha ziara yake ya siku 7 katika nchi hiyo. 

Wakimbizi Wazee nao wanahitaji ajira ili kuweza kujikimu 

Ili kuweza kuishi maisha ya kistaarabu na staha niwajibu kuwa na shughuli ya kukuingizia kipato. Mzee Agapito Andrade mkimbizi raia wa Colombia anayeishi nchini Equador imekuwa ngumu kupata ajira na hivyo hata mlo kwake umekuwa tabu huku janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 likiongeza ugumu maradufukupata ajira.

Takriban Wakimbizi 300,000 wapata maambukizi ya virusi vya Corona mwaka 2020

Takriban wakimbizi 300,000 kutoka Mashariki na Pembe ya Afrika, wamepata maambukizi ya virusi vya Corona au COVID-19 kwa mwaka 2020. Idadi hiyo imetajwa kwenye ripoti kuu ya mwaka 2020 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji, IOM, kwa bara la Afrika iliyotolewa wiki hii.

Tanzania poleni kwa msiba  na chondechonde chukueni tahadhari na toeni takwimu za COVID-19: WHO

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la afya la Umoja wa Mataifa Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus leo ametuma salamu za rambirambi kwa serikali na wananchi wa Tanzania kwa msiba wa Katibu Mkuu kiongozi wa serikali uliotokea mapema juma hili. 

13 Novemba 2020

Sikiliza Jarida la habari la Ijumaa Novemba 13, 2020 na Flora Nducha.

Sauti -
11'39"

COVID-19 yaweza kuwa na madhara ya kiuchumi hata nje ya China- IMF

Wakati idadi ya maambukizi ya virusi vya corona COVID-19 ikiendelea kuongezeka kila uchao, Shirika la afya ulimwenguni,

Sauti -
2'30"

WHO yaingiwa hofu na mwenendo wa maambukizi ya virusi vya Corona, COVID-19

Shirika la afya ulimwenguni, WHO, limesema hofya yake hivi sasa juu ya kuenea kwa virusi vya Corona, COVID-19 ni kutokuwa na taarifa za wazi kuhusu uhusiano wa kuenea kwa virusi hivyo, kama vile historia ya mtu kusafiri China au kuwa na mawasiliano na mtu aliyethibitishwa kuambukizwa virusi hivyo.

Kenya kuhakikisha kuna miakakati endapo Virusi vya Corona vitazuka:WHO

Shirika la afya ulimwenguni WHO jana Alhamisi limetangaza kuwa virusi vipya vya corona ni dharura ya afya ya kimataifa inayotia wasiwasi likizitaka nchi zote

Sauti -
5'41"