mafunzo

Waandishi wa habari 400 Afrika Magharibi wamepatiwa mafunzo na IOM

Ripoti sahihi, dhahiri na zilizoandikwa kwa ufasaha kuhusu wahamiaji zina wajibu muhimu wa kuelimi Afrika Magharibi kuhusu uhamiaji wakiholela na katika kuwajumuisha tena kwenye jamii wahamiaji wanaorejea katika jamii zao limesema shirika la kimataifa la uhamiaji IOM.

Mafunzo ya vitendo yaleta afuweni kwa wakimbizi na raia kwenye makazi ya Kalobeyei Kenya:UNHCR

Mafunzo ya vitendo yanayotolewa kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR kwenye makazi ya Kalobeyei yameinua matumaini ya maelfu ya wakimbizi na raia wa Kenya katika eneo hilo.

Wanawake wa Abyei wafundishwa Kingereza na IOM

Mafunzo ya ya lugha ya Kingereza yanatotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji,  IOM kwenye jimbo la Abyei yawa mkombozi mkubwa kwa wanawake hasa katiika kujikimu kiuchumi

Sauti -
1'40"

Mafunzo ya lugha ya Kingereza yawa mkombozi kwa wanawake Abyei:IOM

Mafunzo  ya lugha ya Kingereza yanayotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji,  IOM kwenye jimbo la Abyei yamekuwa mkombozi mkubwa kwa wanawake hasa katika kujikimu kiuchumi. 

Wanawake lazima wapewe kipaumbele kutimiza ajenda ya 2030

Mashirika ya misaada ya kibinadamu, asasi za kiraia na serikali mbalimbali zimehimizwa kuwekeza nguvu zao katika kuinuwa vipato vya watu vijijini hususani wanawake kwa kupitia miradi ya ujasiriamali ,kutoa  mafunzo, semina na mbinu mbalimbali zitakazoliwezesha kundi hilo katika j

Sauti -

Wanawake lazima wapewe kipaumbele kutimiza ajenda ya 2030

Mashirika ya misaada ya kibinadamu, asasi za kiraia na serikali mbalimbali zimehimizwa kuwekeza nguvu zao katika kuinuwa vipato vya watu vijijini hususani wanawake kwa kupitia miradi ya ujasiriamali ,kutoa  mafunzo, semina na mbinu mbalimbali zitakazoliwezesha kundi hilo katika jamii.