Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

29 Novemba 2021

29 Novemba 2021

Pakua

Karibu kusikiliza jarida ambapo jumatatu ni siku ya mada kwa kina na leo tunabisha hodi nchini Ghana kumulika adha za kukosa choo na jinsi Benki ya Dunia imeleta ahueni kwa familia husika kwenye mji mkuu wa taifa hio la Afrika Magharibi, ACCRA.

Pia utapata fursa ya kusikiliza habari kwa ufupi zikimulika masharti yaliyowekwa na Afrika kwa wanaotaka kutoa chanjo, kikao maalum cha WHO baada ya kutokea aina mpya ya kirusi pamoja na ujumbe wa Katibu Mkuu wa UN kwa siku ya mshikamano na watu wa palestina. 

Audio Credit
FLORA NDUCHA
Audio Duration
11'12"