Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

15 Novemba 2021

15 Novemba 2021

Pakua

Assumpta Massoi anakuletea jarida hii leo ambapo kama livyo ada Jumatatu ni mada kwa kina, tunakupeleka Congo-Brazaville kumulika adha ya kukosa utaifa.

Pia utapata fursa ya kusikia habari kwa ufupi, miongoni mwa utakayosikia ni pamoja na Umoja wa Mataifa watoa fedha kwenye mfuko wake wa dharura kusaidia Ethiopia, WHO wasaidia kupunguzwa bei za vipimo vya haraka vya Kaswende na Virusi vya UKIMWI -VVU, na katika kipindi cha janga la coronavirus">COVID-19 zaidi ya watoto 45,000 waliokuwa wameshikiliwa wameachiliwa huru. 

 

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
11'6"