Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

28 Oktoba 2021

28 Oktoba 2021

Pakua

Karibu kusikiliza jarida ambapo hii leo ASSUMPTA MASSOI anakuletea taarifa zikiwemo

-Mkutano unaohusu utafiti, sayansi teknolojia na uvumbuzi katika kukuza ushirikiano na maendeleo katika nchi za Afrika Mashariki ikiwa ni sehemu ya mbio za kuyafikia malengo ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo endelevu, SDGs, ulioandaliwa na Kamisheni ya Sayansi na Teknolojia ya Jumuiya hiyo kwa kushirikiana na vyuo vya elimu ya juu umehitimishwa leo jijini Bunjumbura kwa kunuia kuwapa nafasi watafiti katika kukuza uchumi.

-Mradi wa chakula shuleni nchini Rwanda unatekelezwa na WFP

-Pamoja na manufaa yaliyoanza kuonekana baada ya UNDP kusaidia uwekezaji katika vituo vitano vya kuhifadhi mboga mboga na matunda nchini Tanzania.

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
12'6"