Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jarida 31 Agosti 2021

Jarida 31 Agosti 2021

Pakua

Katika Jarida hii leo Grace Kaneiya atakujuza kuhusu vyeti vya Covid-19 kwa njia ya kielektroniki. 

Pia utasikia namna matumizi ya tehama yalivyowasaidia wanafunzi nchini Kenya kuongeza ufaulu na kupunguza utoro na huko Bangladesh wakulima wanafurahia uwekezaji wa FAO

Karibu usikilize kwa undani. 

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
13'51"