Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jarida 27 Agosti 2021

Jarida 27 Agosti 2021

Pakua

Katika Jarida hii leo utasikia wavuvi kutoka Kigoma nchini Tanzania wanavyojikinga na janga la Corona au coronavirus">COVID-19  pamoja na kile wasemacho juu ya  chanjo ya ugonjwa huo.

Pia utasikia habari kutoka maeneo mbalimbali lakini kubwa ni milipuko iliyotokea karibu na uwanja wa ndege wa Kabul nchini Afghanistan tarehe 16 Agosti 2021.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
12'50"