Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

24 DESEMBA 2020

24 DESEMBA 2020

Pakua

Katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

-Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA linasema mwaka 2020 ulikuwa mwaka wa zahma kubwa kwa wanawake na wasichana, utamsikia mkurugenzi mtendaji Dkt. Natalia Kanem akiuelezea

-Wakulima nchini Senegal wanufaika na mradi wa PAFA unaofadhiliwa na shirika la kimataifa la maendeleo ya kilimo IFAD

-Huko nchini Togo shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO lakidhi kiu ya ya wakazi wa danpen kwa kukarabati bwawa kwa ajili ya umwagiliaji, kulisha mifugo na utalii

-Makala yetu leo inatupeleka Uganda kupata ushauri kwa ajili ya kuwalinda hasa wasichana wakati huu wa sikukuu za Krismasi na mwaka mpya

-Na mashinani utamsikia afisa wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF nchini Niger akielezea msaada wao kwa manusura wa mafuriko

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
11'15"