Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu wanaendelea kutawanywa Syria- UN Ripoti

Watu wanaendelea kutawanywa Syria- UN Ripoti

Pakua

Tume ya Umoja wa Mataifa ya uchunguzi kuhusu machafuko yanayoendelea nchini Syria imesema hali ni mbaya na vita nchini humo havina dalili yoyote ya kumalizika, huku ukiukwaji wa haki za binadamu ukiongezeka.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Flora Nducha
Audio Duration
3'
Photo Credit
© UNICEF/Baker Kasem