Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yasema ingawa hakuna kisa chochote cha kipindupindu mwaka huu Haiti vita haijaisha

UNICEF yasema ingawa hakuna kisa chochote cha kipindupindu mwaka huu Haiti vita haijaisha

Pakua

Mwaka 2020 umeanza vyema kisiwani Haiti kwa kutokuwa na kisa chochote kipya cha kipindupindu baada ya maelfu ya watu kupoteza maisha kwa miaka 9 iliyopita na ugonjwa huo, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.

Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Audio Duration
1'52"
Photo Credit
UNICEF/Marco Dormino