Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNESCO yasema asilimia 32 ya watu wa zaidi ya miaka 15 Nepali hawajui kusoma wala kuandika

UNESCO yasema asilimia 32 ya watu wa zaidi ya miaka 15 Nepali hawajui kusoma wala kuandika

Pakua

Nchini Nepal asilimia 32 ya watu wenye umri wa zaidi ya miaka 15 hawajui kusoma wala kuandika na wanawake na watu wanaoishi vijijini ndio waathirika wakubwa.

Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Audio Duration
2'13"
Photo Credit
UN Photo/Gill Fickling