Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP yasema tukiwa na ufadhili wa kuaminika tutaokoa maisha ya mamilioni

WFP yasema tukiwa na ufadhili wa kuaminika tutaokoa maisha ya mamilioni

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP limesema kuwepo kwa ufadhili wa kutosha, wa wakati na wa kuaminika inaamanisha shirika hilo litaweza kuamua wapi na jinsi gani fedha zitumike ili kuokoa maisha ya mamilioni ya watu duniani.

Audio Credit
UN News/Anold Kayanda
Audio Duration
1'51"
Photo Credit
OCHA/Sari Omer