Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR yasema maelfu wafungasha virago kukimbia machafuko mapya Darfur

UNHCR yasema maelfu wafungasha virago kukimbia machafuko mapya Darfur

Pakua

Machafuko yanayoendelea El Geneina kwenye jimbo la Darfur Magharibi yamewalazimisha watu Zaidi ya 11,000 kukimbilia nchi jirani ya Chad kama wakimbizi limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
2'8"
Photo Credit
© UNHCR/Modesta Ndubi