utapiamlo

COVID-19, vita na mabadiliko ya tabianchi vyaongeza zahma ya utapiamlo Afghanistan:WFP

Nchi ya Afghanistan inakabiliwa na changamoto kubwa ya kutokuwa na uhakika wa chakula huku viwango vya utapiamlo vikifurutu ada kutokana na tishio litokanalo na majanga matatu makubwa ambayo ni vita, corona au COVID-19 na mabadiliko ya tabianchi kwa mujibu wa shirika la umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP.

Mafunzo kupima watoto utapiamlo Niger ni hali ya kumfundisha mtu kuvua ili apata samaki kila wakati

Wahenga wanasema usimpe mtu samaki bali mfundishe kuvua ilia pate samaki kila wakati, na hivyo ndivyo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -
2'5"

Mafunzo ya wazazi kupima watoto wao utapiamlo Niger yazaa matunda 

Wahenga wanasema usimpe mtu samaki bali mfundishe kuvua ilia pate samaki kila wakati, na hivyo ndivyo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF nchini Niger limefanya kwa kuwapatia wazazi ujuzi wa kupimia watoto wao utapiamlo nyumbani badala ya kusubiri kwenda vituo vya afya kama njia mojawapo ya kutokomeza janga hilo linalokumba takribani watoto 400,000 kila mwaka.  

Utapiamlo ni changamoto nchini Yemen

Unyafuzi au utapiamlo uliokithiri umeshika kasi miongoni mwa watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 nchini Yemen ambapo takwimu mpya zinaonesha kuwa zaidi ya watoto 500,000 kwenye wilaya 13 kusini mwa nchi hiyo wana unyafuzi.

Sauti -
1'54"

Viwango vya unyafuzi Yemen vyavunja rekodi- UNICEF 

Unyafuzi au utapiamlo uliokithiri umeshika kasi miongoni mwa watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 nchini Yemen ambapo takwimu mpya zinaonesha kuwa zaidi ya watoto 500,000 kwenye wilaya 13 kusini mwa nchi hiyo wana unyafuzi.

Kutoa ni moyo si utajiri

Bi Neema Mustafa mkazi wa Kijiji cha Kiswanya, wilayani Kilombero, Morogoro Tanzania ni mtu mwenye ulemavu ambaye anaishi katika hali ya kupooza kwa zaidi ya miaka 20 tangu  alipopooza mwili wake akiwa na msichana mdogo wa umri wa takribani miaka 20.

Sauti -
4'15"

Licha ya vikwazo vya COVID-19, UNICEF yaendelea kupambana na utapiamlo DRC 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, limeendelea na juhudi zake za kusaidia kupambana na utapiamlo kwa watoto nchini Jamhuri ya

Sauti -
2'23"

Pamoja na vikwazo vya COVID-19, UNICEF yaendelea kupambana na utapiamlo DRC 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, limeendelea na juhudi zake za kusaidia kupambana na utapiamlo kwa watoto nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ingawa COVID-19 inatishia shughuli hizo znazolenga kuwaokoa watoto wapatao milioni 3.4. 

17 AGOSTI 2020

Katika Jarida la habari hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
11'3"

UNICEF yachukua hatua mtambuka kunusuru watoto dhidi ya unyafuzi

Nchini Niger, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linashirikiana na wadau kutekeleza mbinu za haraka za kukabiliana na utapiam

Sauti -
1'48"