Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi Bidibidi Uganda wasema kuwa mkimbizi sio mwisho wa kuota ndoto

Wakimbizi Bidibidi Uganda wasema kuwa mkimbizi sio mwisho wa kuota ndoto

Pakua

Unapokuwa mkimbizi huchoki kuota ndoto za siku moja maisha yako yatabadilika na kuachana na jinamizi lililolazimisha kufungasha virago.  Hii ni kauli ya baadhi ya wakimbizi kutoka Sudan Kusini ambao hivi karibuni wamepatiwa mafunzo na shirika la mpango wa chakula duniani WFP kuhadhithia maisha ya ukimbizini.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
2'36"
Photo Credit
UN News