Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makazi mapya ya raia yajengwa Birao kwa ushirikiano wa MINUSCAR na raia

Makazi mapya ya raia yajengwa Birao kwa ushirikiano wa MINUSCAR na raia

Pakua

Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, ushirikiano kati ya  ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini humo, MINUSCA pamoja na raia waliofurushwa makwao kufuatia mapigano ya mwezi Septemba kwenye eneo la Birao nchini humo uwemewezesha wakimbizi hao sasa kupata makazi ya muda yaliyo salama.

Audio Credit
UN News/Priscilla Lecomte
Audio Duration
1'49"
Photo Credit
MINUSCA/Hervé Serefio