Tunashukuru uwepo wa UN kwenye makazi yetu- Imam CAR
Ikiwa leo ni siku ya Umoja wa Mataifa ambao moja ya jukumu lake la kuanzishwa miaka 74 iliyopita lilikuwa ni kusongesha amani, tunaangazia jinsi kupelekwa kwa polisi wa Umoja wa Mataifa kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR.