Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Yemen haki za mtoto bado ni njia panda wakati mkataba wa haki za mtoto ukitimiza miaka 30

Yemen haki za mtoto bado ni njia panda wakati mkataba wa haki za mtoto ukitimiza miaka 30

Pakua

Nchini Yemen, muhula mpya wa shule ukianza huku mzozo ukiendelea, watoto milioni 2 hawawezi kwenda shule, idadi ikijumuisha nusu milioni ambao ni watoro wa shule tangu mzozo uanze nchini humo mwaka 2015.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Assumpta Massoi
Audio Duration
2'16"
Photo Credit
UNICEF