Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Amerika ikifuatiwa na Afrika zinaongoza kwa visa vya mauaji yasiyo ya kukusudia

Amerika ikifuatiwa na Afrika zinaongoza kwa visa vya mauaji yasiyo ya kukusudia

Pakua

Takriban watu 464,000 kote duniani waliuawa bila kukusudia mwaka 2017, idadi iliyopita kwa mbali ile ya watu 89,000 waliouawa kwenye mizozo na vita katika kipindi kama hicho, kwa mujibu wa utafiti uliofanyika dunia nzima kuhusu mauaji ya bila kukusudia mwaka 2019  na kuchapishwa leo na ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusisika na madawa na uhalifu (UNODC). 

Audio Credit
Flora Nducha/ Jason Nyakundi
Audio Duration
3'36"
Photo Credit
Source: UNODC report