Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wapinzani wana mchango katika mchakato wa amani Cameroon:Bachelet

Wapinzani wana mchango katika mchakato wa amani Cameroon:Bachelet

Pakua

Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa limeanza mkutano wake wa kawaida wa 41 huko Geneva Uswisi hii leo ambapo Kamishna Mkuu wa haki za binadamu Michelle Bachelet amezungumzia masuala ya  ukiukwaji wa haki za binadamu katika maeneo mbalimbali duniani ikiwemo Sudan, Syria na Cameroon.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
1'45"
Photo Credit
UN Photo/Manuel Elías