Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bado kuna walakini upatikanji wa huduma bora za uzazi kwa wajawazito maskini-UNICEF

Bado kuna walakini upatikanji wa huduma bora za uzazi kwa wajawazito maskini-UNICEF

Pakua

Tathmini mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF inaonesha kuwa zaidi ya kaya milioni 5 barani Afrika, Asia na Amerika ya Kusini hutumia zaidi ya asilimia 40 ya matumizi yao yasiyo ya chakula katika huduma za afya ya mama mjamzito kutokana na gharama hizo kuwa za juu.

Sauti
2'9"
Photo Credit
Picha/ UN/Albert Gonzales Farran