Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ujenzi mpya Msumbiji baada ya Idai na Kenneth wahitaji mabilioni:UNDP

Ujenzi mpya Msumbiji baada ya Idai na Kenneth wahitaji mabilioni:UNDP

Pakua

Serikali ya Msumbiji leo inafanya mkutano wa kimataifa wa ufadhili mjini Beira kwa ajili ya kuomba msaada wa  ujenzi mpya wa kijamii, uzalishaji na miundombinu baada ya athari za vimbunga Idai na Keneth.

Sauti
2'18"