Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watuhumiwa kuwekwa gerezani bila hukumu si haki:UNODC

Watuhumiwa kuwekwa gerezani bila hukumu si haki:UNODC

Pakua

Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na madawa na uhalifu UNODC imesema kitendo cha watuhumiwa hata kama ni wa mihadarati kuwekwa gerezani kwa muda mrefu bila hukumu ni ukiukwaji wa haki za binadamu na sasa wanaendesha mafunzio kwa watu kutambua haki zao na kuepuka zahma hiyo nchini Kenya eneo la Lamu.

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration
2'12"
Photo Credit
UNICEF/Rajat Madhok