mihadarati

Polisi na doria ya pamoja ya MINUSCA yadumisha usalama Ubangi CAR

Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, doria inayofanywa kwa ushirikiano wa jeshi la polisi la nchi hiyo, polisi wa Umoja wa Mataifa UNPOL wanaohudumu katika mpango wa Umoja wa Mataifa nchini humo ujulikanao kama

Sauti -
1'47"

Doria ya pamoja ya MINUSCA na polisi yadumisha usalama Ubangi CAR

Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, doria inayofanywa kwa ushirikiano wa jeshi la polisi la nchi hiyo, polisi wa Umoja wa Mataifa UNPOL wanaohudumu katika mpango wa Umoja wa Mataifa nchini humo ujulikanao kama MINUSCA inasaidia kuweka utulivu na kukabiliana na uhalifu.

Vituo vya kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya ni msaada mkubwa

Hii leo ikiwa ni siku ya kupiga vita matumizi ya madawa ya kulevya duniani, vituo vya kusaidia waathirika wa madawa hayo vimekuwa msaada mkubwa wakati huu ambapo Umoja wa Mataifa unasema ya kwamba watu milioni 35 ulimwenguni kote wana matatizo yatokanayo na matumizi ya madawa hayo ilhali ni mtu 1

Sauti -
6'5"

Madhara yatokanayo na matumizi ya madawa ya kulevya ni kupindukia- UNODC

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kudhibiti madawa ya kulevya na  uhalifu, UNODC, imesema kuwa madhara ya afya yatokanayo na matumizi ya madawa hayo ni makubwa kuliko ilivyofikiriwa. UNODC imesema hayo wakati wa uzinduzi wa ripoti yake hii leo ikiangazia mwenendo wa matumizi ya madawa ya kulevya duniani mwaka 2017 na madhara yake.

Watuhumiwa kuwekwa gerezani bila hukumu si haki:UNODC

Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na madawa na uhalifu UNODC imesema kitendo cha watuhumiwa hata kama ni wa mihadarati kuwekwa gerezani kwa muda mrefu bila hukumu ni ukiukwaji wa haki za binadamu na sasa wanaendesha mafunzio kwa watu kutambua haki zao na kuepuka zahma hiyo nchini Kenya eneo l

Sauti -
2'12"

18 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anamulika 

-Mchango wa wanawake katika amani ya kudumu Kenya

-Upokonywaji wa rasilimali za Palestina unaofanywa na Israel ni ukiukwaji wa haki za binadamu yasema UN

Sauti -
12'55"

Viwango vipya vya kimataifa vyaweka kupambana na tatizo la mihadarati:UN

Muungano wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa, mashirika ya Umoja wa Mataifa na wataalam wa haki za binadamu wanaokutana kwa ajili ya mkutano wa tume ya masuala ya madawa ya kulevya mjini Vienna Australia, leo umezindua viwango vipya vya kimataifa vya kisheria ili kuandaa na kubadili mtazamo wa vita vya kimataifa dhidi ya tatizo la mihadarati.

Vijana wanaotumia mihadarati wasaidiwe badala ya kutiwa mbaroni

Matukio ya matumizi ya kupindukia ya madawa ya kulevya yametawala katika nchini zilizoko Mashariki mwa Afrika. Serikali pamoja  mashirika ya kibinadamu wamekuwa bega kwa bega kupambana na zahma hiyo inayoangamiza kizazi cha leo hususani vijana.

Sauti -
3'46"

Muarobaini wa kupunguza mihadarati ni kutibu waathirika- Ripoti

Ripoti mpya ya bodi ya kimataifa ya kudhibiti mihadarati, INCB imetaja mambo muhimu ya kuzingatia ili kupunguza matumizi ya madawa hayo duniani.