MODEST MERO

Mwaka 2017-2019

Mwaka 2017 ulianza kwa Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuanza rasmi hatamu yake ya uongozi na kuahidi kuleta mabadiliko katika usawa wa kijinsia na kuzuia mizozo katika dunia yenye migawanyiko.

Mwaka 2017-2019

Mwaka 2017 ulianza kwa Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuanza rasmi hatamu yake ya uongozi na kuahidi kuleta mabadiliko katika usawa wa kijinsia na kuzuia mizozo

Sauti -
2'47"

Wakati umefika Kiswahili kiwe lugha rasmi ya UN - Tanzania

Vikao vya kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa vikiendelekea kwenye makao makuu ya umoja huo jijini New York, Marekani, Tanzania imerejelea wito wake wa kutaka lugha ya Kiswahili iwe miongoni mwa lugha rasmi za chombo hicho chenye jumla ya wanachama 193.

Teknolojia mpya isifunike vyombo vya habari asilia:Wajumbe

Kukataa kuzigeuza habari za umma kuwa siasa, au kulinda waandishi wa habari, si kupuuza vyombo vya habari vya jadi, na kugeukia mtandao wa inteneti na mitandao ya kijamii.

18 Oktoba 2018

Kamishina mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet awaambia SPLA-IO(RM) waachilieni huru wananchi mnaowashikilia mateka. Uganda yafurahishwa na mkutano wa AU na UN, yasema ni ishara ya kupatiwa kipaumbele mawazo ya bara la Afrika.

Sauti -
9'38"

Dunia ijifunze kusamehe kama alivyofanya Mandela- Balozi Mero

Leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani, nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wanapitisha azimio la kumuenzi aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela.

Afrika tutaangazia amani na maendeleo endelevu - Balozi Modest Mero.

Mkutano wa 73 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unafunguliwa rasmi hii leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.