Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Fursa ya kwenye kituo cha ustawi wa jamii imemsaidia mwanangu mwenye usonji

Fursa ya kwenye kituo cha ustawi wa jamii imemsaidia mwanangu mwenye usonji

Pakua

Ingawa Umoja wa Mataifa umekuwa ukipigia chepuo watu wenye matatizo ya usonji wasitengwe wala kuenguliwa kwenye harakati za maendeleo yao, nchini Iraq, hali ni tofauti kwa mtoto Samer mwenye umri wa miaka 10 ambaye ameishi na upweke hadi kituo kimoja nchini Lebanon kilipoleta nuru kwenye maisha yake. Taarifa zaidi na Amina Hassan.

Audio Credit
Amina Hassan
Audio Duration
2'20"
Photo Credit
Siku ya kuhamasisha jamii kuhusu usonji. (Picha:UN-Maktaba)