Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtindo wa shule nchini Uganda wainuliwa na UNICEF

Mtindo wa shule nchini Uganda wainuliwa na UNICEF

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa msaada kutoka kwa serikali ya Korea Kusini limezindua mradi unaolenga kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na huduma za kujisafi katika shule zaidi ya 100 nchini humo. 

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
1'2"
Photo Credit
Vyanzo vya maji na mito inapaswa kulindwa na kuhifadhiwa. (Picha:UNEP)