Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Guterres asema atatumia vikao vijavyo kuchagiza ushiriano wa kimataifa

Guterres asema atatumia vikao vijavyo kuchagiza ushiriano wa kimataifa

Pakua

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterrres, amesema ingawa ushirikiano wa kimataifa unakumbwa na zahma, yeyé binafsi bado anaamini ndio njia sahihi ya kutatua matatizo yanayokumba dunia wakati huu wa utandawazi.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
2'24"
Photo Credit
WFP/Photolibrary