Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

06 Agosti 2018

06 Agosti 2018

Pakua

Jaridani hii leo Jumatatu ya Agosti 6, 2018 Assumpta Massoi anaangazia:

  1. Tetemeko la ardhi nchini Indonesia, mamia wajeruhiwa, UN yasema iko tayari kusaidia harakati za uokoaji.
  2. Polisi wanawake na mchango wao katika ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa, Suzana Kaganda kutoka Tanzania afunguka.
  3. Kijana mmoja ana hofu na mashaka kuhusu  maisha yake ya kijamii kwani ndoto za kuoa zinaingia doa kutokana na kukosa utaifa.
  4. Makala inamuangazia Profesa kutoka Finland aliyejikita katika uhifadhi wa misitu Tanzania, alizungumza na Flora Nducha.
  5. Mashinani leo tunakutana na Faiza Ally, mfanyabiashara na muigizaji kutoka Tanzania ambaye ametilia kipaumbele unyonyeshaji watoto wake maziwa yake. KARIBU!
Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
11'40"