Unyonyeshaji

27 MEI 2020

Kwenya Jarida la Umoja wa mataifa hii leo
-COVID-19 yawa upenyo wa kutangaza maziwa ya kopo badala ya maziwa ya mama

Sauti -
12'31"

COVID-19 yawa upenyo wa kutangaza maziwa ya kopo badala ya maziwa ya mama- Ripoti

Ripoti mpya ya mashirika ya Umoja wa Mataifa na wadau, inaonesha kuwa juhudi za kukomesha matangazo ya maziwa ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga zinaendelea kukumbwa na mkwamo hasa wakati huu wa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.

Mradi wa kupunguza utapiamlo Kenya wachagiza kina mama kunyonyesha watoto

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,  UNICEF limesema mpango wa kupunguza utapiamlo na kuimarisha afya ya mama na mtoto nchini Kenya,

Sauti -
9'51"

Wahudumu wa afya wa kujitolea mashinani wasaidia kuimarisha unyonyeshaji watoto Kenya

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,  UNICEF limesema mpango wa kupunguza utapiamlo na kuimarisha afya ya mama na mtoto nchini Kenya, umesaidia kuongeza kiwango cha unyonyeshaji watoto maziwa ya mama pekee. 

06 Agosti 2019

Jaridani hii leo tunaanzia huko Kigali Rwanda na harakati za Umoja wa Mataifa kuhakikisha upatikanaji wa chakula barani Afrika, kisha tunabisha hodi Tanzania kusikia wito wa

Sauti -
12'48"

Wanawake Morogoro wapata mafunzo ya kunyonyesha vyema watoto wao

Kila mwaka Agosti mosi ni mwanzo wa wiki ya unyonyeshaji duniani ikiwa na lengo la kutoa elimu na kuhimiza jamii kuhusu umuhimu wa mtoto kupata maziwa ya mama kwa miezi sita ya mwanzo ya maisha yake.

Sauti -
2'48"

Wanakijiji wapata elimu ya lishe bora kwa mtoto nchini Tanzania

Kila mwaka Agosti mosi ni mwanzo wa wiki ya unyonyeshaji duniani ikiwa na lengo la kutoa elimu na kuhimiza jamii kuhusu umuhimu wa mtoto kupata maziwa ya mama kwa miezi sita ya mwanzo ya maisha yake.

Unyonyeshaji maziwa ya mama unajenga ukaribu wa mama na mtoto : Wataalam

Je wafahamu faida za kunyonyesha mtoto maziwa ya mama punde tu anapozaliwa? Na je wafahamu pia sababu za baadhi ya wanawake kutopenda kunyonyesha watoto wao?

Sauti -
3'51"

07 Agosti 2018

Jaridani  hii leo Jumanne ya Agosti 7 mwaka 2018 mwenyeji wako ni Assumpta Massoi na habari alizokuandalia hii leo:

Sauti -
10'36"

06 Agosti 2018

Jaridani hii leo Jumatatu ya Agosti 6, 2018 Assumpta Massoi anaangazia:

Sauti -
11'40"