Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bila takwimu mchango wa mwanamke kijijini hautojulikana: FAO

Bila takwimu mchango wa mwanamke kijijini hautojulikana: FAO

Pakua

Hayo yamesema na Bi Sisan Kaaria afisa wa masuala ya jinsia idara ya será kwenye shirika la chakula na kilimo FAO. Akihojiwa na Idhaa hii kandoni mwa mkutano wa 62 wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani CSW, mjini New york Marekani, Bi Kaaria amesema wazalishaji wakubwa duniani ni wanawake hususani katika sekta ya kilimo, lakini thamani ya mchango wao haijulikani  kwa kuwa haijaorodheshwa popote

(SAUTI YA SUSAN)

Na amekumbusha kuwa bila wanawake wa vijijini hakuna maendeleo

(SAUTI YA SUSAN)

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
1'17"
Photo Credit
UN News/Assumpta Massoi