Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nchi za Afrika zilizo na migogoro ziige mfano wa Liberia: Opande

Nchi za Afrika zilizo na migogoro ziige mfano wa Liberia: Opande

Nchi za Afrika zilizo katika machafuko na vita vya wenyewe kwa wenyewe zimeshauriwa kufuata nyazo za Liberia ambayo baada ya miongo ya vita na madhila ya hali ya juu sasa inajivunia matunda ya amani.

Hayo yamesemwa na Jenerali msataafu Daniel Opande  kutoka Kenya, aliyekuwa kamanda wa kwanza wa mpango wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Liberia UNMIL.

Hata hivyo bwana Opande anasema kupatikana kwa amani Liberia ulikuwa mtihani mkubwa ambao hatimaye kwa msaada wa Umoja wa Mataifa, na ari ya pande zote katika mzozo ya kutaka kumaliza vita, waliushinda mtihani huo na mkataba wa amani ukatiwa saini 2003

(SAUTI YA DANIEL OPANDE OPANDE)

Na kwa mantiki hiyo

(SAUTI YA DANIEL OPANDE OPANDE)

Ameongeza kuwa kuna mambo matatu waliyafanya Liberia kuhakikisha amani waliyoikamata haiwaponyoki tena mosi

(SAUTI YA DANIEL OPANDE OPANDE)

Pakua
Audio Credit
Selina Jerobon
Audio Duration
2'17"
Photo Credit
Picha: OCHA / Y. Sene