FGM

Lazima tutokomeze ukeketaji : Mwanaharakati Ifra Ahmed

Kutana na mkimbizi kutoka Somalia, muathirika wa ukeketaji ambaye hakuacha athari za jinamizi hilo kusambaratisha ndoto zake za kuhakikisha hatopumzika hadi pale mangariba wote watakapobwaga manyanga na kuacha ukatili huo nchini Somalia na kwingineko duniani.

Sauti -
2'49"

10 Juni 2021

Hii leo katika jarida Leah Mushi anaanza na ripoti ya ajira za watoto duniani ikielezwa kuwa ajira za utotoni zimefikia milioni 160, zaidi ya nusu ni watoto wa wenye umri wa miaka 5 hadi 11.

Sauti -
13'9"

Sitopumzika hadi mangariba wote watakapoacha ukeketaji: mwanaharakati Ifrah 

Kutana na mkimbizi kutoka Somalia muathirika wa ukeketaji ambaye hakuacha athari za jinamizi hilo kusambaratisha ndoto zake za kuhakikisha hatopumzika hadi pale mangariba wote watakapobwaga manyanga na kuacha ukatili huo nchini Somalia na kwingineko duniani.

Asilani hakuna mwanangu atakaye keketwa! 

Kama asilimia 95 ya wanawake wanawake katika jamii yake chini Uganda, wamekeketwa. Margaret Chepoteltel alikeketwa  (FGM) utotoni na kutumbukia katika madhara ya kiafya katika maisha yake yote.  

Umoja, ubia na ushirikiano wa dhati ni muarobaini wa kutokomeza FGM

Umoja wa Mataifa umetaka ushirikiano katika ngazi zote na katika sekta zote za kijamii ili kulinda mamilioni ya wasichana na wanawake walio hatarini kukumbwa na ukeketeaji (FGM) kila mwaka.

05 Februari 2021

Leo Ijumaa ni mada kwa kina na Assumpta Massoi anakupeleka Nairobi Kenya ambako Grace Kaneiya katika kufuatilia utekelezaji wa mwaka wa kimataifa wa mboga mboga na matunda amevinjari kwa familia moja jijini Nairobi kuona mtazamo wao katika ulaji wa mboga za majani na matunda.

Sauti -
10'39"

Asante Umoja wa Mataifa kutushika mkono kupambana na ukeketaji Kenya:Lisiagali

Tatizo la ukeketaji ni mtambuka linaathiri mamilioni ya wanawake na wasichana kote duniani likiwaacha na amajeraha makubwa yasiyofutika yakiwemo ya kimwili na kisaikolojia.

Sauti -
4'57"

Hatua za haraka zahitajika kukomesha FGM, ndoa za utotoni na upendeleo:UNFPA

Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la idadi ya watu duniani UNFPA imesema ili kukabiliana na janga la kimyakimya la mila potofu hatua za haraka zinahitajika kukomesha ukeketaji (FGM), ndoa za utotoni na mila zingine ambazo zinathiri wanawake na wasichana. 

WHO yasema ukeketaji unaathiri wasichana na wanawake na gharama ya matibabu ni dola bilioni 1.4 kwa mwaka kimataifa

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya kutokomeza ukeketaji, shirika la afya ulimwenguni, WHO limesema kitendo hicho kinadhoofisha uchumi pamoja na nguvu kazi.

Sauti -
3'23"