Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana wana wajibu wa kuhakikisha mauaji ya kimbari Afrika hayatajwi tena: Kijana

Vijana wana wajibu wa kuhakikisha mauaji ya kimbari Afrika hayatajwi tena: Kijana

Pakua

Vijana wana jukumu muhimu katika kuhakikisha mauaji ya kimbari hayajirudii Afrika , amesema Waziri Rehani mwanafunzi kutoka Tanzania ambaye amehudhuria kumbukizi ya mauaji ya kimbari ya Rwanda kwa uratibu wa Umoja wa mataifa nchini humo.

Katika mahojiano na idhaa hii, Waziri anayesoma kidato cha tano shule ya sekondari Kibasila na ambaye pia ni mwanahabari wa redio washirika Uhuru Fm ya jijini Dar es salaam amesema wajibu wa vijana katika kuhakikisha chuki za kikabila hazipandikizwi katika jamii ni.

(Sauti Waziri)

Baada ya kuhudhuria hafala ya kumbukizi ya maujiaya kimbari ya Rwanda.

(Sauti Waziri)

Mauaji ya kimbari ya Rwanda miaka 23 iliyopita yalisabisha vifo vya zaidi ya watu 800,000 vya Watutsi an Wahutu wenye msimao wa kati.

Photo Credit
Vijana nchini Tanzania katika hafla ya kumbukizi ya mauaji ya kimbari ya Rwanda.(Picha:UNIC/TZ/Stella Vuzo)